Kutoka kwenye kinywa chake mwenyewe Nuh Mziwanda, leo hii
amethibitisha kukatisha uhusiano wake wa kimapenzi na msanii mwenzake
"Shilole"
Nuh amesema sababu ya kuachana na Shilole ni baada ya kukuta meseji
kwenye sim ya shilole iliyokuwa kwenye gari inayosema "nieshafika Dar"
baada ya kuiona meseji hiyo alimtaka Shilole ampigie mtu huyu mbele yake
kusudi ajue ni nani, lakini Shishi alipopiga simu hiyo alijiwahi na
kuanza kumwambia "Niko na Nuh Mziwanda" yaani kusudi yule ajue kama mi
nipo nae asiongee chochote.
Nuh amedai baada ya kuona hivyo, alimpiga kibao shilole na ugomvi
ukaanzia hapo, ambapo ulipelekea mpaka kwenda kuchukua vitu vyake kwa
shilole.
0 Komentar untuk " 21 U HEARD (AUDIO): MSIKILIZE NUH MZIWANDA AKIONGEA NA SUD BROWN BAADA KUACHANA NA SHILOLE. "