Flickr Photos

Gallery

AGNES MASOGANGE NA CORAZINE WA KENYA WASHINDANISHA MAKALIO YAO HUKO SAUZI


Siku za hivi karibuni WADADA HAWA WENYE FIGA MATATA kutoka huku Afrika ya Mashariki wamekuwa marafiki kupitia mtandao wa INSTAGRAM…Kila moja amekua akimkubali mwenzake na mara kadhaa kila mmoja kwanyakati tofauti amekuwa akipost picha ya mwenzake na hata kuitumia kama profile picture

Majibu ya Davido kuhusu beef lake na Wiz Kid HAya HAPA.

Sasa jana usiku kupitia hiyo hiyo INSTAGRM wote wawili kwanyakati tofauti walipost picha wakiwa pamoja huko SAUZI….wakiwa kwenye gari na wakiwa wamelala kitandani…Kama unavyoziona…..


Kubwa zaidi ni pale Masogange alipo weka video ya Corazon akikatika chumbani…Dah Nouma Kweli..Tazama watu wakikitisa maumile yao…
Tag : Cate-Udaku
0 Komentar untuk "AGNES MASOGANGE NA CORAZINE WA KENYA WASHINDANISHA MAKALIO YAO HUKO SAUZI"

Back To Top