Basi
aina ya YUTONG la kampuni ya LIM SAFARI limepata ajali eneo la kwa
Mndulu katika wilaya ya Korogwe mkoani Tanga mchana wa jana, hata hivyo
ni jambo ya kumshukuru Mwenyezi Mungu abiria wote waliokuwa kwenye basi
hilo walinusurika kifo lakini raia wawili wa kigeni waliokuwa pembezoni
mwa barabara wamejuruhiwa
kwa kupata michubuko sehemu mbalimbali za mwili. Basi hilo lilikua
likitoka jijini Dar es Salaam kuelekea Arusha likiwa na namba za lenye
usajili T578CQR.
0 Komentar untuk "BASI LA KAMPUNI YA LIM SAFARI LAPATA AJALI LIKIELEKEA ARUSHA"