Mimi
ni msichana mwenye umri wa miaka 26 nina boyfriend wangu ambae nampenda
sana na yeye ananipenda mpaka ndugu zake wananitambua ila tatizo
lililopo huyu boyfriend wangu anapenda sana kufanya mapenzi.
Hawezi
kukaa faragha na mimi bila kufanya mapenzi na hata ikitokea labda kama
ni siku mbaya hivi hivi anakuwa hawezi kujizuia na nikimuuliza
ananiambia ndio nijue sina mwenzangu muda wote ananifikiria mimi ndio
maana tukikaa pamoja anakuwa nahisi kubwa juu yangu.
Je, hili ni kweli anamaanisha anachonambia au ni vipi?! Na vipi kama ndio tabia yake kupenda kufanya mapenzi kila wakati akinioa itakuaje?!Mwisho kabisa naomba kuuliza naweza kumsaidia vipi ili twendw sawa?!

Tag :
Cate-Mapenzi
0 Komentar untuk "CHUMBANI ZAIDI: MMH...MPENZI WANGU HUYU MI SIMUELEWI..KILA TUKIWA KWA ROOM ANATAKA...! "