Msanii anayetamba na bonge la ngoma inayo julika na kwa jina la
"LOYAL", amepigwa kibuti na mpenzi wake anayejulikana kwa jina la Karrueche Tran, kwa kosa la Chris Brown kulike picha ya instagram inayo mwonyesha akiwa amelala na Rihana.
Picha hiyo iliwekwa na shabiki mmoja wiki iliyopita, baada ya kuchukua picha ya Chris ya instagram akiwa amelala na kuediti kwa kumpachika Rihanna pembeni mwa Chris brown, na Chris alipoiona hiyo picha aligonga bonge la LIKE kwenye hiyo picha.
Kosa hilo liliunganishwa na makosa mengine mengi yaliyofanywa na Chris, kama lile alilolifanya wakati wa kupiga picha na rafiki zake mpenzi wake. Inasemekana kuwa Chris, aliweka mapozi ya kitoto kwenye hiyo picha na kitendo hicho hakikumfurahisha Karrueche.

Kitendo
cha kulike hiyo picha kilitafsiliwa na media mbalimbali Duniani kuwa
Chris bado anampenda Rihana, hii ilipelekea kumuudhi Karrueche na
kufanya ampige chini mpenzi wake na kubadilisha namba ya simu ili Chris
asimpigie simu tena.
Kosa hilo liliunganishwa na makosa mengine mengi yaliyofanywa na Chris, kama lile alilolifanya wakati wa kupiga picha na rafiki zake mpenzi wake. Inasemekana kuwa Chris, aliweka mapozi ya kitoto kwenye hiyo picha na kitendo hicho hakikumfurahisha Karrueche.
Tag :
Cate-Mapenzi
0 Komentar untuk "CHRIS BROWN APIGWA KIBUTI NA KARRUECHE TRAN..KISA?! RIHANNA ROBIN FENTY...SOMA ZAIDI HAPA! "