Wadau
hapa juzi kati niliingia tama nikamtawanya housegirl wetu hapa hom.
sasa toka nianze kumpatia dozi ya dushelele leo asubuhi nikiwa ofisini
kanitumia sms eti jana usiku amesikia wakati Nampa haki wife sasa nae
anataka apewe haki sawa kama ya bi mkubwa. Duuh Najuta kuanza uhusiano
na huyu binti aisee!!!
Tag :
Cate-Udaku
0 Komentar untuk "Housegirl anataka zamu sawa na mke wangu! "