JE UNAYAFAHAMU MAWAZO YA MWANAMKE PALE ANAPOKUTANA NA H-SOME BOY??... JIONEE HAPA Bagikan : Tweet Kwanza kutazama tembea yako,kisela au kiheshima ili ajue kama una kazi au laa Kama nguo zako zimefubaa basi unatembea juani na kama nguo zimejikunja basi hata pasi huna gari Kama pesa hutoi kwenye waleti basi hujazoea kuwa na pesa na hata lakimoja hujawahi kuwa nayo Kama hunukii vizuri basi wanawake huwajui vizuri, na hata hug au romance hujawhi pata kokote Kama nywele huja chana inaonekana hujitunzi na hata zake hutoweza kugaramia Ukiongea nae mda mrefu na maswali mengi basi una mtaka ila huelewi uanzaje kidume Ukimshika au ukimgusa popote basi unamtaka kimwili Kama nguo zako mkanda wa suruali na viatu havi machi basi pia moja kwa moja hujielewi na hujawahi kuwa na mwanamke Usipomtazama machoni hujiamini na inaonekana muongo Read more: http://jijiletuleo.blogspot.com/2014/08/je-unayafahamu-mawazo-ya-mwanamke-pale.html#ixzz39hWRv5GE Tag : Cate-Laana, MITEGO, SEX Previous Newer Post Next Older Post
0 Komentar untuk "JE UNAYAFAHAMU MAWAZO YA MWANAMKE PALE ANAPOKUTANA NA H-SOME BOY??... JIONEE HAPA "