Huyu
Calisah ni Model maarufu wa kiume...ambaye siku za hivi kariburi
alikuwa ana mahusiano yakimapezi na Jackline Wolper....kama tulivyo
ripoti siku za nyuma kidogo..
Wiki
kadhaa zilizopita inasemekana penzi lao LUKU ILI KATA.....Hadi sasa
Calisah amefuta picha zote za Wolper kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM
ambapo zilikua zaidi 30..hahahaha
Leo
kutoka huko INSTAGRAM wadaku wamezidaka picha hizi za JOKATE akiwa na
CALISAH katika mapozi ambayo watu wanashindwa kuyaelewa!!! Kama
unavyoziona....Jiongeze kiutuuzima!!!
0 Komentar untuk "JOKATE NDANI YA PENZI ZITO NA ALIYEKUA MPENZI WA WOLPER"