Flickr Photos

Gallery

KAMA UNAHISI USHAWAHI KUONA VIDEO CHAFU, BASI HUJAWAHI KUKUTANA NA HII.






Kuna video ambazo kweli zingekuwa zinatengenezwa hapa kwetu tzee, ungekuta serikali imeshazifungia, hii ni kutokana na maadili ya kwenye video hiyo, ila hii hapa ni zaidi ya maadili, na kama unahisi ulishawahi kuona video chafu basi kaa hapa uitizame hii mpya kabisa inaitwa “Pombe yangu”,

 ni video ya muziki kutoka huko nchini Kenya. Hii video imepata hits 12000 ndani ya masaa matatu tu.

CLICK PLAY HERE

0 Komentar untuk "KAMA UNAHISI USHAWAHI KUONA VIDEO CHAFU, BASI HUJAWAHI KUKUTANA NA HII."

Back To Top