Kwa nini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio mkubwa hatupati waume wa kutuoa ?
1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi
hatuolewi: (a)Miili yetu imepitwa na wakati, (b)Labda
wanadhani tutashindwa mechi.
2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a)Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.
NALILETA MEZANI TULIJADILI. Nimefanya uchunguzi
yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake
wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana
kuolewa, kwa nini?
0 Komentar untuk "Kwa nini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio mkubwa hatupati waume wa kutuoa ? "