Binti alipost picha yake ambayo
imeelezwa kuwa ni ya nusu uchi kwenye page yake ya facebook na kama
kawaida ya internet ikasambaa ghafla.Mama wa binti huyo baada ya kusikia
hizo habari hakuweza kujizuia na kumpa kichapo kikali kwa kuchapa na
mkanda binti yake huyo mwenye umri wa miaka 12.Baada ya video hii
kusambaa mama huyo raia wa Trinidad and Tobago amesema hajilaumu
kumchapa mwanae na wala
haogopi kwenda jela kwasababu alikuwa anamuonyesha mwanae njia nzuri ya kuishi.
haogopi kwenda jela kwasababu alikuwa anamuonyesha mwanae njia nzuri ya kuishi.
0 Komentar untuk "BINTI ATEMBEZEWA KICHAPO NA MAMAKE BAADA YA KUWEKA PICHA ZA MITEGO FACEBOOK"