Akizungumzia
tabia yake ya kupiga picha za nusu utupu kisha kuzitupia mtandaoni,
mrembo huyo ambaye aliwahi kushiriki mashindano ya Miss Tanzania miaka
iliyopita alisema: “Navaa hivi kidijitali, si unajua tena. Mimi sioni
tatizo.”
Akizungumzia
suala la usagaji, Mabeto alisema, baadhi ya wanawake wamekuwa
wakimsifia sana na kuonekana kama wanaoelekea kumchomekea mambo hayo
machafu lakini akishaona dalili kama hizo huwapotezea
0 Komentar untuk "MSANII WA BONGOMOVIE ASEMA KUVAA NUSU UCHI NDO UDIJITALI...click uone picha zake"