Flickr Photos

Gallery

MASANJA AWATOLEA UVIVU WEMA NA DIAMOND

Masanja awaasa Naseeb "Diamond na Wema Sepetu.
Kupitia kurasa yake ya mtandao wa Instagram Mchekeshaji Maarufu Afrika Mashariki pia ni Mtumishi wa Mungu Emmanuel Mgaya a.k.a Masanja Mkandamizaji ama waweza muita "Street Pastor" ameandika,

"Street Pastor Anasema.. HILI SWALA LA DIAMOND NA WEMA NADHANI MUNGU AMEMUHURUMIA MMOJA WAPO KATI YA HAO WAWILI. KAMA WANGEKUWA WATU WA KUOANA WANGESHA OANA UCHUMBA GANI MREFU KAMA WANASOMEA UDOKTA???? RAFIKI YANGU NASIB, KAMA KWELI MLIPENDANA KWA DHATI HIZO KASORO ZINAREKEBISHIKA, MAANA HAKUNA MWANADAMU ALIYE SAHIHI KWAN HATA WW NASIB UNAMAPUNGUFU YAKO.
0 Komentar untuk "MASANJA AWATOLEA UVIVU WEMA NA DIAMOND"

Back To Top