Wapenzi hawa ambao majina yao ilikua ngumu kidogo
kupatikana mara moja picha zao zinadhurura mtandaoni bila wao kujua.
Lakini haupaswi kutazama kwa makini kiivo kujua walipiga kwa ridhaa yao
kwani wanaonekana kabisa wakichekelea huku jamaa akiwa kaishikilia simu
wakijipiga kutoka katika camera ya simu hiyo kupitia kioo cha dressing
table as you can see...!
Hizi tabia inabidi zikomeshwe mara moja kwani ni kinyume na maadili ya kitanzania...BADILIKENI JAMANI!

BATA BATANI, LAKINI KUMBUKA UKIMWI UPO NA UNAUA. SIKIA KENGELE, TULIA NA WAKO!
0 Komentar untuk "PEDESHEE LAUMBUKA BAADA YA PICHA ZAKE NA KIMADA KUZAGAA MTANDAONI"