Flickr Photos

Gallery

RIHANNA YUPO NJIANI KUINUNUA LIVERPOOL

Moja ya watu maarufu waliokumbwa na joto kubwa la soka wakati wa michuano ya kombe la dunia, alikuwa ni mwanamuziki  Rihanna.
Alikuwa akituma tweets karibia kwenye michezo yote na mwishoni alienda kuhudhuria fainali ya michuano hiyo iliyopigwa kwenye dimba la Maracana kati ya Ujerumani dhidi ya Argentina.


Siku kadhaa nyuma gazeti la Daily Mail la Uingereza liliripoti kwamba staa huyo alikuwa anajiandaa kununua hisa kwenye moja ya vilabu vikubwa nchini Uingereza, lakini hawakutaja jina la timu.
Lakini leo hii Jumanne, gazeti moja huko Catalunya liitwalo El Mundo Deportivo limethibitisha kwamba Rihanna anataka kununua hisa nyingi kwenye klabu ya Liverpool.

Rihanna amewahi kuripotiwa kwamba anaishabikia klabu ya Liverpool, jambo ambalo inawezekana El Mundo Deportivo wamemhusisha na ununuzi wa klabu hiyo ya Anfield.
Liverpool kwa sasa inamilikiwa na mmiliki wa makampuni ya American Fenway Sports Group  John W. Henry.
 
One of the undoubted social media stars of the 2014 World Cup was pop princess Rihanna.
She Tweeted throughout almost every game and made an appearance at the final in Rio before partying with the victorious Germany players after their World Cup final win over Argentina.
The Daily Mail originally reported a few days ago that Rihanna was interested in buying a Premier League team, but did not specify which club.

On Tuesday, Catalan paper El Mundo Deportivo have confirmed that the club Rihanna wants to buy is none other than Liverpool!

It is understood that Rihanna has taken advice from Chelsea striker Didier Drogba on what club to move for but the Blues would be hugely difficult to buy due to Roman Abramovich’s ownership.
Rihanna has once claimed she is a Liverpool fan, which is perhaps why El Mundo Deportivo have linked her with a move for the Anfield club.
0 Komentar untuk "RIHANNA YUPO NJIANI KUINUNUA LIVERPOOL"

Back To Top