KUNDI maarufu
la vichekesho ambalo kwa sasa ni kama halipo, limepata pigo kubwa baada
ya aliyekuwa meneja wao, mtangazaji nyota wa zamani wa televisheni,
Christina Mosha maarufu kama Seven, kuwamwaga na hivyo kuachana nao.
Baadhi ya waigizaji wa kipindi cha orijino Komedi kutoka kushoto ni Joti, Wakuvanga, Mpoki, Masanja mkandamizaji na Maclegan.
0 Komentar untuk "UKWELI KUHUSU KUNDI LA ORIGINAL COMEDY KUVUNJIKA"