Wataalam wa magonjwa ya kina mama na watoto wamebainisha madhara ambayo
yanaweza kuwapata kinamama na wasichana wenye tabia ya kuvaa nguo za
ndani wakati wa kulala, maumbile ya kike yanaitaji kupumua ilikuzuia
maambukizi kama vile fangasindio maana madaktari wanashauri kulala bila
nguo au kuvaa vinguo vyepesi..Dr. Grace Obong, anasema ya kwamba wakati
wa mchana wanawake pia huvaa chupi mbalimbali na nguo za kubana ambazo
ufanya sehemu zao za siri kupumua kwa shida sana anaendelea kwa kusema
kuwa ingawa inashauriwa wanawake kvaa material aina ya pamba lakini
wanawake wengi hawapendelei kabisa aina hiyo ya nguo za ndani hivyo ni
muhimu wakati wa kulala usiku kuacha maumbile yapumue vizuri...Dr huyo
anashauri kuvaa boxer pamoja na pajama baadhi ya magonjwa au maambukizi
yatokanayo na kukiuka hayo hapo juu ni pamoja na Bacterial
vaginosisMaumbile ya kike yameumbwa kuwa na bacteria ambapo hu balance
bacteria wabaya ni wengi ukilinganisha na bacteria wazuri . Maambukizi
yaitwayo Bacterial vaginosis hutokea pale mlingano huuunaposhindwa
kubalansi. mwanamke mwenye maambukizi upata adha ya kutokwa na majimaji
yenye harufu mbaya na pia wachache hulalamika kupata harufu ya shombo
la samaki .Mara baada yatendo landoa majimaji hayo yanaweza kuwa na
rangi ya maziwa au grey na dalili zngine ni kuungua wakati wa
kukojoamagonjwa mengine ni kama yeast infection na mengine mengi.. Dr
anamaliza kwa kusema ni muda wa kulala natural na kuepuka unyevu unyevu
usiokuwa wa lazima huko chini
0 Komentar untuk "UNAJUA MADHARA YA KULALA NA NGUO ZA NDANI USIKU....click"