Staa wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel.
STAA wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel ameshindwa
kutimiza azma yake ya kufuturisha pamoja na kuwaombea dua wasanii
walioaga dunia kutokana na kuugua na kulazwa.
“Nasikitika sana nimeshindwa kutimiza lengo langu maana niliugua ghafla na kulazwa Hospitali ya Dk. Mvungi, sikuwa na cha kufanya zaidi ya kumuomba Mungu anijaalie uzima ili niweze kutimiza lengo hilo siku nyingine kabla Ramadhani haijaisha,” alisema Aunt.
Tag :
BONGOMOVIE,
UDAKU
0 Komentar untuk "AUNT EZEKIEL ASHINDWA KUTIMIZA LENGO LAKE....click"