Mtangazaji anayedili zaidi na mambo ya haki za wanawake Bongo, Joyce Kiria.
SOO! Mtangazaji anayedili zaidi na mambo ya haki za
wanawake Bongo, Joyce Kiria amenagwa na watu mbalimbali mitandaoni kwa
kile kinachoonekana kuingilia sakata la mwimbaji wa Injili nchini, Flora
Mbasha na mumewe Emmanuel Mbasha, akionekana zaidi kumtetea Flora.Mmoja wa watoa maoni katika mtandao wake aliandika: “Joyce acha kujidhalilisha, huoni kama unapoteza utu wako? Naanza kuamini kuwa na wewe ni miongoni mwa wasioheshimu ndoa zao kutokana na kuwashauri wenzako upumbavu!
0 Komentar untuk "KIHEREHERE CHA JOYCE KIRIA CHAMTOKEA PUANI"