Msanii wa
muziki na mmiliki wa Ray foundation, Rehema Chalamila aka Ray C
amefunguka kwa kusema kuwa alhamisi (july 10) alivamiwa na kupigwa na
msanii Chid Benz.
Akizungumza na bongo5 leo ,Ray C amesema kuwa Chid Benz anatafutwa na polisi baada ya kufanya tukio hilo.
“kweli alinivamia alhamisi usiku, amenipiga mimi na amefanya uharibifu wa mali, mimi nashangaa usiku navamiwa ata sikujua nani amemuonyesha nyumbani kwangu, mimi nilikuwa namtafuta kwa sababu ya show ya kuelimisha vijana na maswala ya madawa ya kulevya, yeye akalichukulia kivingine kabisa, nahisi amechanganyikiwa na madawa ya kulevya, kweli itakuwa amechanganyikiwa na madawa, hayuko sawa kabisa.

Tag :
Cate-BongoFlava
0 Komentar untuk "RAY C AMNENEA CHID BENZ MANENO MAZITO BAADA YA KUTEMBEZEWA KIPIGO"