Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel.
Makubwa! Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel
Grayson amefungukia madai ya kutoka na dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond
Platnumz’ aitwaye Moze Iyobo ambaye ni mume wa mtu akisema hakuna ukweli
wowote zaidi ya kutaka kuchafuliwa.Akizungumza na Ijumaa Wikienda wikiendi iliyopita, Aunt ambaye gazeti la Risasi Mchanganyiko liliripoti tukio la kutaka kufanyiziwa na mke wa dansa huyo aitwaye Mwengi Ally, alisema anamshangaa mwanamke huyo lakini ili kumkomoa atahakikisha anafanya kweli ili kama ni kunuka, kinuke kihalali.
0 Komentar untuk "AUNT EZEKIEL AMTUKANA MKE WA DANSA WA DIAMOND.....click"