Mrembo na staa wa filamu nchini Irene Uwoya amesema kuwa hakuna vazi
asilolipenda kulivaa kama chupi a.k.a kufuli. Irene amesema hayo
alipokuwa akizungumza na
magazine ya burudani ya VIBE.
Alipoulizwa na mwandishi wa jarida hilo kuwa ni nguo gani ni vigumu kuikuta kwenye kabati lake, “Chupi – sipendi kabisa hilo vazi” Alisema Irene uwoya. Hatari sana hii.
magazine ya burudani ya VIBE.
Alipoulizwa na mwandishi wa jarida hilo kuwa ni nguo gani ni vigumu kuikuta kwenye kabati lake, “Chupi – sipendi kabisa hilo vazi” Alisema Irene uwoya. Hatari sana hii.
0 Komentar untuk "IRENE UWOYA: "SIPENDI KUVAA CHUPI KWANZA SINA KABISA ""