Siku Hizi fashion imekuwa kitu cha kituko sana hasa kwa hawa madada du
wa hapa Town... Embu niambie Vazi kama hilo unavaa mbele ya Boyfriend
wako eti kwa kisingizio cha Kwenda na wakati.
Na wewe mwanume shababi tena uliyekamilika katika idara zote unakubali
Girlfriend wako avae upumbavu kama huo... unajisahau kuwa kuna Kenge
wanatoa macho huko nje kila siku kwaajili ya kuharibu mahusiano yenu...
.Na hii ni dhahiri kwenu wadada kuwa nyie ndo mnaeneza uchafu na
kusababisha upungufu wa maadili katika nchi yetu! Ninacho waomba kwamba
mkome na mkomae kama mlivyofunzwa na mama zetu huko kwenu kutuvalia nguo
za aina hiyo kwa madai ya Fashion. Pumbavu...
0 Komentar untuk "JAMANI HIZI FASHION ZA SIKU HIZI ZINAENEZA UFUSKA"