Shirika la Afya Duniani,WHO limeitaja nchi ya Kenya kuwa kwenye hatari
zaidi ya kuenea kwa kirusi hatari cha Ebola.Kenya ipo kwenye hatari
zaidi kwa sababu ni kitovu kikuu cha usafirishaji,ikihusisha ndege
nyingi kutoka ukanda wa Magharibi,Afisa wa WHO alitanabaisha.
Hii ni njia mojawapo ya kujaribu kuzuia maambukizi hasa kwa watumiaji wa vyombo vy usafiri. |
0 Komentar untuk "WAKENYA WAKESHA WAKITAFUTA WALIOAMBUKIZWA NA EBOLA NCHINI"