Diamond Platinumz
Uzito wa majina yao umeongezeka kutokana na Mamilioni ya mashabiki
kuwajua kupitia muziki wa kuimba na sio kurap ndio maana inakua stori
ikitokea wamesikika wakirap hata kwa sekunde 15.
Mo Music!
Wakali wote hawa ambao mwanzoni mwa maisha yao ya muziki walikua
wanarap, kwa sasa nyimbo zao zipo kwenye Top 20 ya CloudsFM ambapo Mo
Music ambae ni mwenyeji wa Mwanza yuko na single yake ya ‘basi nenda’
alafu Diamond yuko na ‘Mdogomdogo’ Baada ya kusikiliza hii rap yao, unaona itakua poa wakirap pia ama wabaki tu kuimba? niachie maoni yako kwenye comment hapa chini...
0 Komentar untuk "WASIKILIZE DIAMOND NA MO-MUSIC WAKICHANA HIPHOP STUDIO"